Photo galleries

1


2


3


4


5


6


7


8


9


10


11


12


13


14


15


Tanzania Diaspora South East Asia

Jumuiya ya Watanzania nchini Malaysia yazinduliwa rasmi kupitia Mkutano ukiofanyika Ubalozini tarehe 14 Oktoba 2017 katika kilele cha maadhimisho ya siku ya kumbukumbu ya kifo cha baba wa taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Katika Mkutano huo, Mheshimiwa Dkt. Ramadhani Kitwana Dau, Balozi wa Tanzania nchini Malaysia, pia alihudhuria na kutoa nasaha kwa watanzania.


Mkutano na Mkurugenzi wizara ya Mambo ya nje Malaysia

Mheshimiwa Dkt. Ramadhani K. Dau, Balozi wa Tanzania nchini Malaysia alipokutana na kufanya mazungumzo na Dato' Abdul Aziz Harun, Mkurugenzi wa Idara ya Africa katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Malaysia.


Travel pictures from Serengeti, Ngorongoro and Zanzibar

Ambassadors from South Africa, Uganda, Romania and Tanzania accompanied by their families visiting some of Africa's most famous and top-rated tourist attractions in Tanzania, namely Serengeti, Ngorongoro and Zanzibar, from 1st to 7th of June 2015.


Tanzanian ambassadors promoting tourism through Kilimanjaro expedition